Badilisha Word kuwa PDF Online (Bure)
Badilisha Word kuwa PDF online kwa haraka na bila kusajili akaunti. Zana hii imetengenezwa mahsusi kwa watumiaji wa Tanzania kushiriki nyaraka salama bila kuharibika.
Jinsi Inavyofanya Kazi
1
Pakia Faili
Chagua faili yako ya Word (.docx) kutoka kwenye kifaa chako
2
Subiri Sekunde Chache
Mfumo wetu utabadilisha Word yako kuwa PDF haraka
3
Pakua Faili Lako
Pata PDF yako tayari kwa kushirikishwa
Matumizi Halisi
Huduma hii ni bora kwa ajili ya:
- ✓CV za kuomba kazi - Tuma CV kwa mfumo uliokamilika
- ✓Assignments za chuo - Wasilisha kazi za shule kwa PDF
- ✓Barua rasmi - Shiriki barua za ofisi kwa mtindo professional
- ✓Ripoti za kazi - Hifadhi ripoti zako kwa mfumo thabiti
- ✓Mikataba - Shiriki mikataba ambayo haiwezi kubadilishwa
- ✓Kutuma email na WhatsApp - Tuma nyaraka zinazoweza kusomwa na kila mtu
Usalama wa Faili Zako
Faili zako ni salama kabisa. Baada ya kupakua PDF yako, mfumo wetu unafuta kiotomatiki faili zote zilizopakiwa na zilizobadilishwa ndani ya dakika 30.
Hatuhifadhi wala hatushiriki nyaraka zako na mtu yeyote. Ubadilishaji wote unafanyika kwa siri kamili.